ALIYEKUWA Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrence Mafuru, amefariki kwa ugonjwa wa saratani ya damu, baada ya kuugua kwa muda mfupi, imeelezwa. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, ...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, amesema kuwa katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, serikali imetumia shilingi trilioni ...
HALMASHAURI ya Chalinze Wilaya ya Bagamoyo imetenga sh. Milion 800 kwa ajili ya uwekezaji wa taa za barabarani. Hayo ...
JESHI la Polisi linamshikilia Deogratias Mbuya (40) makazi wa Legho Kilema, Wilaya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kumuua Baba mkwe wake aliyejulikana kwa jina Tibrus Mneney (72) baada ya kushi ...
IMEELEZWA kwamba mpango wa kuchimba mabwawa ya kuhifadhi maji kwa ajili ya matumizi ya shughuli za kilimo kwa wananchi wa ...
Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimepokea ruzuku ya shilingi bilioni 12.5 kutoka kwa Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA) kwa ajili ya kufundisha wataalam wa afya katika n ...
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH), imefanya upasuaji kwa wagonjwa 25 kati ya 186 wenye maumivu sugu kwa kusitisha (ku-block) ...
PRIME Minister Kassim Majaliwa is next week scheduled to grace the fifth Business and Economic Development Conference (BEDC) ...
KITUO cha Kitaifa cha Ukuzaji Mtaala (NCDC), kimetangaza kuwa lugha ya Kiswahili itaanzishwa kama somo la lazima katika shule ...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imewazawadia wahitimu wawili bora wa Chuo cha Maji, Florence ...
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH)-Mloganzila, imeanzisha kliniki mbili ikiwamo ya miguu, ili kubaini uwapo wa ganzi na ...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufungua Mkutano wa sita wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini nchini ...