Tanzania imeungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Forodha huku Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya ...
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) imeiagiza Rwanda kufunga shughuli zake zote za kidiplomasia na kibalozi nchini humo ...
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imelaani vikali mauaji ya wanajeshi wake yaliyofanywa na kundi la waasi la ...
Na Safina Sarwatt, Mtanzania Digital Msimu wa 23 wa mbio maarufu za kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon 2025 umezinduliwa rasmi mwishoni mwa wiki ...
MIKOPO kwa njia ya kidijitali inayoanza kutolewa na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) imeelezwa kuwa itawasaidia wananchi kupata fedha kwa wakati na kuendeleza biashara zao ili ...
Idara ya Uhamiaji nchini imethibitisha kuwapa uraia wa Tanzania kwa Tajnisi wachezaji watatu wa kigeni wa timu ya Singida ...
Ufaulu Waongezeka kwa 5.54% Dk. Mohamed alieleza kuwa, jumla ya watahiniwa 221,953 walipata madaraja ya ufaulu I-III, sawa na ...
SHULE Sekondari Feza Boys imejivunia uwekezaji iliyofanya katika kumuandaa mwanafunzi kuwa bora baada ya kufaulisha wanafunzi ...